Msanii Petra Aolewa Na Mr. Hamza Katika Harusi ya Kuvutia

Msanii Petra Aolewa Na Mr. Hamza Katika Harusi ya Kuvutia

Msanii wa muziki wa rap kutoka Kenya, Petra, ameanza rasmi maisha mapya ya ndoa baada ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake Bw. Hamza katika sherehe ya kifahari iliyofanyika tarehe 14 Septemba 2025 Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Petra alitangaza habari hiyo njema kwa mashabiki wake akipakia picha za harusi na ujumbe wa kugusa […]

Read More
 Petra Awataka Vijana Kuacha Maudhui Yenye Aibu Mitandaoni

Petra Awataka Vijana Kuacha Maudhui Yenye Aibu Mitandaoni

Msanii wa muziki Petra ameibuka na ujumbe mzito unaosisitiza umuhimu wa maadili na uadilifu katika safari ya mafanikio, akisema kuwa mtu hahitaji kushiriki katika maudhui ya ngono au kupoteza utu wake ili kufanikiwa kwenye tasnia ya burudani. Kupitia mitandao ya kijamii, Petra ameeleza kuwa kizazi kipya kinahitaji kuamini kuwa mafanikio ya kweli hayaji kwa njia […]

Read More