PHILLIPPE COUNTINHO AJIUNGA NA ASTON VILLA KWA MKOPO TOKA BARCELONA
Kiungo wa kimataifa wa Brazil na Barcelona Philippe Coutinho atajiunga na Aston villa Kwa mkopo hadi, mwisho wa msimu. Vilabu vya Aston Villa na Barcelona vimekubaliana juu ya uhamisho wa nyota huyo na villa watalazamika kulipa sehemu ya mshahara wake. Inatajwa kuwa Kiungo huyo ameshawishika zaidi kujiunga na Villa kutokana na Meneja wa Klabu hiyo […]
Read More