BAADHI YA WADAU WA MUZIKI WATAKA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WANAMUZIKI UGANDA KUAHIRISHWA
Katibu mkuu katika chama cha wanamuziki nchini Uganda UMA Phina Mugerwa hajafurahishwa na namna ambavyo uchaguzi wa chama hicho utafanyika juni 28 mwaka huu huko National Theatre Kampala. Tume ya uchaguzi katika chama cha uma iliahirisha uchaguzi wiki kadhaa zilizopita baada ya visa vya udanganyifu kuripotiwa. Tume hiyo ikaamua kufanya uchaguzi kwa njia ya kawaida […]
Read More