Phoina Akanusha Kuwa Katika Mahusiano na Khalif Kairo
Mjasiriamali maarufu wa urembo, Phoina, ameibuka na kukanusha madai kwamba yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mfanyabiashara wa magari Khalif Kairo, baada ya video yao kusambaa mtandaoni ikionyesha wakipigana mabusu hadharani. Video hiyo, ambayo imezua gumzo kubwa mitandaoni, ilionekana kuonyesha ukaribu wa wawili hao, hatua iliyowafanya mashabiki na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuanza kukisia […]
Read More