PIA PONDS AFUNGUKA UGOMVI WAKE NA REMA NAMAKULA
Pia Pounds alisainiwa na Eddy Kenzo chini ya lebo yake ya muziki ya Big Talent wakati Mshindi huyo wa Tuzo ya BET alikuwa akichumbiana na Rema Namakula. Wakati wanandoa hao walitengana mwaka wa 2018, baadhi ya mashabiki wa muziki nchini Uganda walidai kwamba Pia ponds ndio chanzo cha wawili hao kutengana. Ingawa amekuwa akikataa kuzungumza […]
Read More