Pia Pounds: “Naingiza mamilioni ya pesa mtandaoni kuliko matamasha ya klabuni

Pia Pounds: “Naingiza mamilioni ya pesa mtandaoni kuliko matamasha ya klabuni

Msanii wa muziki kutoka Uganda Pia Pounds amesema kuwa kwa sasa anaingiza fedha nyingi kupitia mapato ya muziki wake mtandaoni, akisisitiza kuwa majukwaa ya kidijitali yamekuwa chanzo kikubwa cha kipato kwa wasanii wengi. Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha runinga nchini Uganda, hitmaker huyo wa Tupaate alieleza kuwa yeye pamoja na menejimenti yake walifanya […]

Read More
 PIA PONDS AWAACHA MASHABIKI NJIA PANDA KUHUSU MWAANDISHI WA HITSONG YAKE “TUPAATE”

PIA PONDS AWAACHA MASHABIKI NJIA PANDA KUHUSU MWAANDISHI WA HITSONG YAKE “TUPAATE”

Female singer kutoka nchini Uganda Pia Ponds amewaacha mashabiki na maswali mengi kuhusu ni nani hasa alimuandikia wimbo wake wa “Tupaate”. Hii ni baada ya mrembo huyo kuibuka na kujinasibu kuwa yeye ndiye mwaandishi halisi wa wimbo huo kauli ambayo inakinzana na aliyoitoa mwaka wa 2021 aliposema kuwa msanii mwenzake Azawi ndiye alihusika kwenye uandishi […]

Read More
 PIA PONDS KUFUNGULIA MASHTAKA PROMOTA KWA KUMSUSHIA TAARIFA UONGO

PIA PONDS KUFUNGULIA MASHTAKA PROMOTA KWA KUMSUSHIA TAARIFA UONGO

Msanii wa kike nchini Uganda Pia Ponds amekanusha tuhuma zilizoibuliwa na promota kuwa alidinda kutumbuiza kwenye onyesho la mkesha wa mwaka mpya  lilofanyika jiji London Uingereza licha ya kulipwa pesa zote. Kupitia mitandao yake kijamii Pia Ponds amesema mapromota onesho hilo hawakumlipa pesa zake zote lakni pia walikwenda kinyume na maktaba walioweka kabla ya shoo. […]

Read More