PILIPILI AFUNGUKA KUHUSU UKIMYA WAKE KWENYE MUZIKI

PILIPILI AFUNGUKA KUHUSU UKIMYA WAKE KWENYE MUZIKI

Mwanamuziki mkongwe nchini Pilipili amefunguka sababu za ukimya wake kwenye muziki. Akizungumza na KOM, Pili pili amesema hajaacha muziki kama inavyoripotiwa kwenye mitandao ya kijamii ila alichukua mapumziko mafupi kwa ajili ya kujipanga vizuri kimuziki baada ya kuachia nyimbo kali. Licha ya ukimya wake kwenye game ya muziki, msanii huyo amesema bado anafanya matamasha ya […]

Read More