TikTok Kuleta Mapinduzi ya Movies Fupi Kupitia PineDrama

TikTok Kuleta Mapinduzi ya Movies Fupi Kupitia PineDrama

Mtandao wa kijamii wa TikTok umeanzisha rasmi programu (app) mpya inayoitwa PineDrama, inayolenga kutoa burudani ya micro-dramas yaani video fupi za mfululizo pamoja na filamu zenye simulizi fupi lakini zenye mvuto mkubwa kwa watazamaji. Kwa mujibu wa TikTok, PineDrama imeundwa mahsusi kwa ajili ya watumiaji wanaopenda hadithi fupi zilizojaa ubunifu, ambapo maudhui yote yatakuwa katika […]

Read More