Pinky afukuzwa Team No Sleep kwa madai ya kuvuta Shisha
Msanii anayekuja kwa kasi nchini Uganda Pinky ameripotiwa kutimuliwa kwenye lebo ya muziki ya Team No Sleep kwa madai ya kutoka kimapenzi na wanaume tofauti na kuvuta shisha. Duru za kuaminika zinasema licha ya meneja wake Jeff Kiwa kumuonya kila mara kujitenga na tabia hatarishi itakayomshusha kisanaa, aliendelea kumpuuza, jambo ambalo lilifanya uongozi wa TNS […]
Read More