PITSON NA MKE WAKE MBIONI KUPATA MTOTO WATATU

PITSON NA MKE WAKE MBIONI KUPATA MTOTO WATATU

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Pitson na mkewe wake Caroline Nyokabi wametangaza kuwa wanatarajia kumpata mtoto wao wa tatu hivi karibuni. Pitson ameweka wazi taarifa hiyo njema kwa mashabiki zake kupitia ukurasa wake Instagram alipochapisha picha akiwa na mke wake ambaye ni mja mzito na kusindikiza na caption inayosomeka “Tangazo, tangazo!, Praise God with […]

Read More