Mpenzi wangu simu ikiita lazima niangalie – Platform TZ
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Platform, ameeleza kuwa hupata wivu simu ya mpenzi wake ikiita na kutamani kufahamu ni nani amepiga. Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa instagram ameandika ‘’Kwa upande wangu #Wivu wangu kwa mpenzi wangu ni simu yaani simu ikiita tuuu lazima niangalie nani kapiga. “Je wewee una #Wivu kama wangu???? “Save […]
Read More