RAPA PNB ROCK AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI

RAPA PNB ROCK AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI

Rapa kutoka Marekani PNB Rock ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo kwenye tukio la uvamizi lililotokea kwenye mgahawa mmoja Jijini Los Angeles. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Jijini Los Angeles, Kelly Muniz, rapa PNB Rock mwenye umri wa miaka 30 alikuwa na mpenzi wake kwenye mgahawa huo, ambaye aliweka location kwenye picha […]

Read More