Mozilla Kufunga Huduma ya Pocket Julai 8, 2025

Mozilla Kufunga Huduma ya Pocket Julai 8, 2025

Mozilla imetangaza kuwa itasitisha huduma ya Pocket, programu ya kuhifadhi links, video na kurasa kwa kusoma baadaye, kuanzia Julai 8, 2025. App hii imekuwa maarufu miongoni mwa wapenzi wa habari na makala mtandaoni. Kampuni hiyo imesema imeamua kufunga Pocket ili kuelekeza nguvu zaidi kwenye kuboresha kivinjari chake cha Firefox. Watumiaji wote wataarifiwa mapema na kupewa […]

Read More