POGBA KUONGEZEWA MKATABA MANCHESTER UNITED

POGBA KUONGEZEWA MKATABA MANCHESTER UNITED

Klabu ya Manchester United imepanga kumpa Ofa ya Mkataba mpya Kiungo Paul Pogba wenye thamani ya kiasi Cha pound laki 5 kwa juma na kumfanya Kuwa Mchezaji ghali anayelipwa zaidi Katika Ligi Kuu ya Uingereza Pogba anayeuguza Majeraha anataraji kurejea Uwanjani Mwishoni mwa Mwezi Januari Mkataba wa Pogba unamalizika mwishoni mwa Msimu na Ofa Hiyo Imekuja Siku Chache baada ya Klabu ya Manchester United kumtambulisha Afisa mtendaji Mkuu mpya Bwana Richard Arnold anayetarajiwa Kuanza Majukumu Yake mapema Mwezi ujao. Msimu Huu wa mwaka 2021/2022 Kiungo Huyo wa kimataifa w Ufaransa ameitumikia Manchester United Katika Michezo 9 na Kutoa pasi zilizozaa magoli 7

Read More