KRG The Don: “Mimi ni Msanii wa Rais, 2027 Niko Kwa Ballot!”
Msanii maarufu wa dancehall nchini Kenya, KRG The Don, amethibitisha nia yake ya kuingia kwenye siasa kwa kishindo. Kupitia kauli kali yenye ujasiri, KRG alitangaza kuwa atawania kiti cha ubunge mwaka 2027 kupitia chama cha UDA, huku akisisitiza kuwa hana hofu ya wakosoaji wake. “Mimi ni msanii wa President, hakuna mtu anaweza niguza na 2027 […]
Read More