POST MALONE AWAONDOLEA HOFU MASHABIKI BAADA YA KUPATA AJALI
Staa wa muziki kutoka Marekani Post Malone amewaondolea hofu mashabiki wake kuhusu afya yake baada ya kupata ajali mbaya akiwa jukwaani kwenye moja ya onesho lake huko St. Louis. Mkali huyo wa ngoma ya “Rockstar” ametoa taarifa kwa mashabiki kwamba anaendelea vizuri huku akiomba radhi kwa kuwaeleza kuwa atarejea tena St. Louis wakati mwingine kwa […]
Read More