Presenter Ali Afunguka Kuhusu Uvumi wa Kutengana na Medina

Presenter Ali Afunguka Kuhusu Uvumi wa Kutengana na Medina

Content creator kutoka Kenya, Presenter Ali, ameweka wazi msimamo wake kufuatia uvumi ulioenea mitandaoni kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na mkewe, Medina. Akipiga stori na Oga Obinna, Ali amesema kuwa hali ya ndoa yao haipaswi kuwa mjadala wa umma. Amefafanua kuwa si kweli kwamba wameachana, na pia si sahihi kudhani bado wako pamoja kwa misingi […]

Read More