Prezzo Awaomba Mapromota Wasikilize Kilio cha DNA

Prezzo Awaomba Mapromota Wasikilize Kilio cha DNA

Msanii mkongwe wa muziki nchini Kenya, Prezzo, ametoa wito kwa mapromota wa burudani nchini humo kuzingatia ombi la msanii DNA, akiwataka kumpatia nafasi ya kushiriki kwenye shows za kufunga mwaka, hususan zile za tarehe 31 Desemba. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Prezzo amewaomba mapromota kuonyesha moyo wa kusaidia, akisema kuwa DNA haombi mengi, […]

Read More
 Prezzo awachana mastaa wanaodanganya umri wao kwenye mitando ya kijamii

Prezzo awachana mastaa wanaodanganya umri wao kwenye mitando ya kijamii

Rapa Prezzo amewachana wasanii nchini Kenya wanaodanganya kuhusu miaka yao halisi ya kuzaliwa kwenye mitandao ya kijamii. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram ameshangazwa na kasumba hiyo ambayo imekithiri sana miongoni mwa mastaa nchini huku akisema kuwa ni jambo la aibu kwao kuficha umri kwa ajili ya kuwafurahisha walimwengu. Rapa huyo mkongwe amewataka mastaa […]

Read More
 PREZZO AFUNGUKA SABABU ZA KUVALIA VAZI LA KUZUIA RISASI

PREZZO AFUNGUKA SABABU ZA KUVALIA VAZI LA KUZUIA RISASI

Rapa Prezzo amefunguka sababu za kuvalia vazi la kuzuia risasa kwenye mwili anapotoka nyumbani kwake. Katika mahojiano yake hivi karibuni Prezzo amesema alichukua maamuzi ya kuhimarisha usalama baada ya kuvamiwa na majambazi miaka kadhaa iliyopita ambapo wamlipiga risasi kadhaa huku wakitoweka na mali ya thamani ya shillingi millioni 3.5 za Kenya. “When it comes to […]

Read More
 PREZZO AFUNGUKA BAADA KUPOTEZA UBUNGE KASARANI

PREZZO AFUNGUKA BAADA KUPOTEZA UBUNGE KASARANI

Rapa wa Kenya Prezzo amefunguka mara ya kwanza baada ya kupoteza kiti cha ubunge eneo la kasarani kwenye uchaguzi mkuu uliokamilika juzi kati. Katika mahojiano Prezzo amesema ingawa hakubahatika kushinda  kiti cha bunge Kasarani ataendelea kuwafanyia kazi wananchi huku akijitayarisha kuwania tena kiti hicho mwaka wa 2027. Hitmaker huyo wa “Mafans” amesema hajawahi poteza kitu […]

Read More
 PREZZO, SANAIPEI TANDE NA JALANG’O KUSHIRIKI SHOW MPYA YA UCHESHI IITWAYO ROAST HOUSE

PREZZO, SANAIPEI TANDE NA JALANG’O KUSHIRIKI SHOW MPYA YA UCHESHI IITWAYO ROAST HOUSE

Rapper Prezzo, Sanaipei tande na Mchekeshaji maarufu nchini ambaye pia ni mgombea wa ubunge langat  Jalang’o wametajwa kuwa miongoni mwa mastaa 10 na wachekeshaji 17 wa kenya  ambao watarajiwa kushirikishwa  kwenye show mpya ya ucheshi iitwayo Roast House. Show hiyo inalenga kusherekea mafanikio na machango wa mastaa mbali mbali nchini Kenya kupitia ucheshi ambao utafanywa […]

Read More
 PREZZO AIDHINISHWA NA IEBC KUWANIA UBUNGE

PREZZO AIDHINISHWA NA IEBC KUWANIA UBUNGE

Rapper aliyegeukia siasa Jackson Ngechu maarufu Prezzo ameshindwa kuficha furaha yake baada ya tume ya IEBC kumuidhinisha kuwa atawania ubunge wa eneo la Kasarani kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti 9 kupitia Tiketi ya chama cha Mabadiliko Na Busara. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Prezzo amethibitisha taarifa hiyo kwa kusema kwamba amekithi vigezo vyote ambavyo tume […]

Read More