PRINCE OMAR ASAINIWA NA LEBO YA MUZIKI YA BADDEST
Msanii Prince Omar kutoka nchini Uganda amekuwa akisuasua kimuziki licha ya kuwekeza mamillioni ya fedha kwenye kazi zake. Msanii huyo amefanya kazi na menejiment mbali mbali kama Black Market Records na Jah Live ila hajafanikiwa kutoa ngoma yeyote kali. Sasa katika jaribio la kufufua kazi za zake za muziki prince omar amethibitisha kusainiwa na meneja […]
Read More