WASANII WA KENYA WAPOKEA MIRABAHA YAO KUTOKA PRISK

WASANII WA KENYA WAPOKEA MIRABAHA YAO KUTOKA PRISK

Wanamuziki wa Kenya wamepokea mirabaha yao kutoka kwa Chama cha Haki ya watumbuizaji nchini PRISK, iliyopewa mamlaka na bodi ya hakimiliki nchini KCB kuwasimamia kazi za wabunifu wote wanaojihusisha na sanaa. Kila msanii aliyesajiliwa na PRISK amepokea shillingi 1,215 za kenya kama mapato yake jambo ambalo baadhi ya wasanii wameonekana kupokea shingo upande wakisema kwamba […]

Read More