Rapa Tory Lanez Atajwa Kuanzisha Ugomvi Kabla ya Tukio la Kudungwa Kisu
Mshukiwa wa tukio la kushambuliwa msanii wa muziki Tory Lanez, sasa amevunja ukimya, akidai alimdunga kisu rapa huyo kwa sababu alihisi maisha yake yako hatarini. Kwa mujibu wa maafisa wa magereza, Tory Lanez alijeruhiwa vibaya kwa kudungwa kisu mara kadhaa akiwa gerezani, na mshambuliaji sasa anadai alikuwa akijilinda. Mshukiwa huyo ameeleza kuwa alisikia uvumi kuwa […]
Read More