MCHUMBA WA STIVO THE SIMPLE BOY AANIKA MAOVU AMBAYO MSANII HUYO ANAPITIA CHINI UONGOZI WAKE WA MADE IN KIBERA
Mpenzi wa msanii Stivo the Simple boy Pritty Vishy ameanika maovu ambayo msanii huyo amekuwa akipitia chini ya uongozi wake wa Made in Kibera. Akipiga stori na SPM Buzz mrembo huyo amesema uongozi wa Stivo umekuwa ukipora miraba ya nyimbo za msanii huyo huku akitoa mfano kuna kipindi stivo alisaini dili la shillingi laki 2 […]
Read More