PRODYUZA BONGA KUFANYA KAZI TENA NA HARMONIZE BAADA KUTOFAUTIANA KIMAWAZO
Mtayarishaji wa muziki wa Bongofleva maarufu kama Prodyuza Bonga ambaye alihusika kukamilisha hit song ya ‘Never Give Up’ ya Harmonize ameeleza kufanya tena kazi na mwanamuziki huyo mmiliki wa record label ya Konde Gang baada ya kutofanya naye kazi kwa muda mrefu kufuatia kutofautiana. Mtayarishaji huyo amefunguka hayo kupitia insta story yake kwenye mtandao wa […]
Read More