Mume wa Cindy Sanyu akanusha tuhuma za kushindwa kufadhili harusi yao
Mwanamuziki Cindy Sanyu na mumewe, Prynce Okuyo juzi kati walitimiza mwaka mmoja wakiwa mke na mume baada ya kufanga ndoa mwishoni mwa mwaka 2021. Kufuatia uvumi kuwa Cindy ndiye alifadhili shughuli nzima ya harusi yao, mume wake Prynce Okuyo amejitokeza kwa mara ya kwanza na kukata mizizi ya fitina juu ya madai hayo. Okuyo ameeleza […]
Read More