PSG Yaitandika Real Madrid 4-0, Yatinga Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imeendeleza ubabe wake katika soka la kimataifa kwa kuifunga Real Madrid mabao 4-0 na kufuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu. Mechi hiyo ya kusisimua ilichezwa Jumatano usiku mjini New Jersey, Marekani. PSG walitawala mchezo huo tangu dakika za awali, huku Fabián Ruiz akifungua ukurasa wa mabao katika […]
Read More