DAVIDO ALAMBA DILI NONO LA KUWA BALOZI WA KAMPUNI YA PUMA
Davido ametangaza kusaini dili nono la kuwa balozi wa kampuni maarufu ya mavazi ya michezo duniani PUMA. Mkali huyo kutoka nchini Nigeria atakuwa na jukumu la kuitangaza kampuni hiyo kwenye soko la Afrika ambalo linakuwa kwa kasi. Kwa mujibu wa ripoti, inaelezwa kuwa Davido pia atakuwa na jukumu la kuitangaza PUMA kwenye eneo la kusini […]
Read More