PUSHA T AFUNGUKA SABABU ZA KUMALIZA UGOMVI WAKE NA DRAKE
Rapa kutoka Marekani Pusha T hatimaye amefunguka sababu iliyomfanya kumaliza bifu yake na Drake ambayo ilidumu kwa miaka 10. Kwenye mahojiano na Desus & Mero, Pusha T ameeleza kwamba, kuwa Baba mwaka 2020 ndio sababu pekee iliyomfanya aimalize bifu yake na Drizzy kwani kulimbadilisha mtazamo wake kwa ujumla hasa kuwahusisha watoto kwenye ugomvi. Kama utakumbuka […]
Read More