Q Chief Azua Gumzo Baada ya Kutishia Kumpiga Mtangazaji wa EATV

Q Chief Azua Gumzo Baada ya Kutishia Kumpiga Mtangazaji wa EATV

Msanii mkongwe wa Bongofleva, Q Chief amezua gumzo mitandaoni baada ya kutishia kumtwanga mtangazaji wa EATV, kufuatia madai yaliyoibuliwa wakati wa mahojiano kuwa ana mpango wa kuacha muziki kutokana na malipo duni ya shoo. Kwa mujibu wa video zinazotembea mtandaoni, msanii huyo ameonekana kuchukulia mada hiyo kama ya kumkera na kumdhalilisha, akisisitiza kuwa suala la […]

Read More
 MSANII WA BONGOFLEVA Q CHIEF AMKINGIA KIFUA VANESSA MDEE

MSANII WA BONGOFLEVA Q CHIEF AMKINGIA KIFUA VANESSA MDEE

Msanii mkongwe wa Bongofleva, Q Chief amesema haimuingi akilini kabisa suala la Saraphina kufananishwa na Vanessa Mdee kwenye muziki. Katika mahojiano yake na EATV, Q Chief amesema Saraphina anafanya vizuri kimuziki lakini nafasi ya Vanessa ipewe heshima yake. “Viatu vya mtu visivaliwe na mtu mwingine, yaani mnataka kumfananisha Saraphina na Vanessa Mdee kweli? anafanya vizuri […]

Read More