Q CHILLAH AMTUHUMU HARMONIZE KUWA MKABILA

Q CHILLAH AMTUHUMU HARMONIZE KUWA MKABILA

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Q-Chillah amemtuhumu mwimbaji Harmonize kuwa na ukabila. Kwenye mahojiano na kipindi cha “Interpol” Chillah amesema Harmonize amekuwa akiwapendelea sana wasanii wanaotoka kabila lake la Wamakonde kwenye shughuli zake za kimuziki huku akitaja sababu ya Country Wizzy kuondoka kwenye Label ya Konde Music Worldwide ilichangiwa na ukabila. “Na ndio maana […]

Read More