Kaka wa Young Thug akiri kosa mahakamani
Kaka wa rapa Young Thug aitwaye Quantavious Grier “Unfoonk” amekiri makosa yake mahakamani na kuingia makubaliano maalumu kwamba asiwe na mawasiliano na Young Thug. Kwa mujibu wa Wbstv rekodi za mahakama ya jimbo la fulton zinaonyesha kuwa Quantavious Grier alikiri shtaka moja la kukiuka sheria inayopambana na rushwa (rico) na shtaka moja la wizi kwa kupokea mali ya wizi. […]
Read More