Marapa Quavo na Take Off wamkataa Cardi B

Marapa Quavo na Take Off wamkataa Cardi B

Marapa Quavo Huncho na Take Off kutoka Marekani wamemkataa aliyekuwa shemeji yao Cardi B ambaye ni Baby Mama wa Offset aliyekuwa anaunda kundi la Migos. Wawili hao baada ya kuulizwa kwenye mahojiano na Drink Champs kuwa wapo upande upi kati ya Cardi B na Nick Minaji Take Off Bila kusita alimtaja Nicki Minaj. Kauli hii […]

Read More