DIAMOND PLATINUMZ ATANGAZA UJIO MPYA WA QUEEN DARLEEN MWAKA 2022
Baada ya kimya cha muda mrefu na stori za hapa na pale kuhusu uwepo wake ndani ya record label ya WcB , hatimae boss wa label hiyo Diamond Platnumz ameamua kuweka wazi juu ya ujio mpya wa first lady wa WCB Queen Darleen Kupitia insta story yake Diamond Platnumz ameshare sehemu ya video clip ikimuonesha […]
Read More