R. Kelly na mchumba wake wapata mtoto

R. Kelly na mchumba wake wapata mtoto

Mwimbaji nguli wa RnB, R.Kelly na mchumba wake, bibie Joycelyn Savage wamepata mtoto wao wa kwanza wakike, aliyepewa jina “Ava Lee Kelly”, ambapo wamepata mtoto huyo kwa njia ya upandikizaji. R.Kelly ambaye kwa sasa yupo gerezani akitumikia kifungo chake, mchumba wake huyo amebainisha kujifungua kupitia mfululizo wa post zake katika ukurasa wake wa Instagram pamoja […]

Read More
 R. Kelly akanusha kuhusu kuachia Album mpya

R. Kelly akanusha kuhusu kuachia Album mpya

Mkongwe wa muziki wa RnB kutoka nchini Marekani Robert Sylvester Kelly alimaarufu kama R Kelly ameachia album yake licha ya kuwa gerezani. Licha ya kuachia Album hiyo ya aliyoipa jina la I ADMIT IT ikiwa na ngoma 13, Kampuni ya Sony Music iliishusha Album hiyo kwenye majukwaa ya Spotify na Apple Music. Mwanasheria wa Mwanamuziki […]

Read More
 R. KELLY KUPANDISHWA KIZIMBANI TENA

R. KELLY KUPANDISHWA KIZIMBANI TENA

Mwanamuziki kutoka Marekani R. Kelly kuanza kupandishwa tena kizimbani, shtaka lake la mwaka 2008 ambalo anakabiliwa nalo kwa kujihusisha na masuala ya kutengeneza maudhui ya ngono kwa watoto (Child Pornography) limeanza kusikilizwa Jumatano. Taarifa kubwa ni kwamba Wazee wa Baraza la Mahakama wameruhusiwa kutazama mikanda mitatu ya ngono ambayo Mwanamuziki R. Kelly alikuwa akijirekodi na […]

Read More
 R. KELLY APUZILIA MBALI UJA UZITO WA MREMBO JOYCELYN SAVAGE

R. KELLY APUZILIA MBALI UJA UZITO WA MREMBO JOYCELYN SAVAGE

Mwimbaji Robert Kelly maarufu R.Kelly ambaye kwa sasa anatumikia miaka 30 ya kifungo chake gerezani, amekanusha taarifa ya mrembo Joycelyn Savage ambaye ni mhanga katika makosa yake, kudai ana ujauzito wake. Mwanasheria wa Kelly, Jennifer Bonjean ameiambia TMZ hamna ukweli wowote juu ya hilo. Mrembo Joycelyn Savage kupitia chapisho ndani ya kitabu chake kipya kilichotoka […]

Read More
 R KELLY ATUPWA JELA MIAKA 30

R KELLY ATUPWA JELA MIAKA 30

Mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya R&B, R Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa unyanyasaji wa kingono kwa wanawake na mabinti wadogo. R. Kelly, amepatikana na hatia ya kulazimisha, kushawishi na usafirishaji wa kingono wa binti aliyekuwa chini ya miaka 18. Tuhuma za uhalifu wa kingono zinazomkabili R. Kelly zilijulikana kwa umma baada […]

Read More