Mwanamuziki Rabadaba afufua penzi lake na baby mama wake Sheila Ferguson
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Rabadaba ameripotiwa kufufua penzi lake na baby mama wake Sheila Ferguson ambaye kwa pamoja wamejaliwa kuwapata watoto wawili. Chanzo cha karibu kimesema Rabadaba alianza kuwa kwenye mahusiano na Ferguson pindi tu alipotua nchini Uingereza na mke wake Maggie. Licha ya kuwa Maggie alitishia kumrejesha Rabadaba nchini kwao uganda kwa kumsaliti kimapenzi, […]
Read More