Eddy Kenzo sio mwanamuziki bora Uganda – Ragga Dee

Eddy Kenzo sio mwanamuziki bora Uganda – Ragga Dee

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Uganda Ragga Dee amemkataa Bosi wa Big Talent, Eddy Kenzo. Hii  ni  baada ya watu kuhoji kuwa Eddy Kenzo ndiye mwanamuziki bora nchini humo kufuatia kuteuliwa kwake kwenye tuzo za Grammy mwaka 2023. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Ragga Dee amesema kuna wasanii wengi nchini Uganda ambao wana vipaji kumzidi […]

Read More
 Ragga Dee afunguka kustaafu muziki

Ragga Dee afunguka kustaafu muziki

Msanii mkongwe kwenye muziki kutoka nchini Uganda Ragga Dee amedai kuwa hana mpango wa kustaafu muziki hivi karibuni licha ya kuwa hajakuwa akiachia nyimbo katika miaka ya hivi karibuni. Kwenye mahojiano yake na kituo kimoja cha redio nchini uganda Ragga Dee amethibitisha kuwa ataendelea kufanya muziki hadi atakapopumua hewa yake ya mwisho duniani. “Muziki ipo […]

Read More
 RAGGA DEE AKANUSHA TUHUMA ZA KUPORA FEDHA ZA MADEEJAY UGANDA

RAGGA DEE AKANUSHA TUHUMA ZA KUPORA FEDHA ZA MADEEJAY UGANDA

Lejendari wa muziki kutoka nchini Uganda Ragga Dee amejitenga na madai ya kufuja pesa za madeejay alizopewa na Gen. Salim Saleh. Hitmaker huyo wa “Letter O” amekanusha tuhuma hizo ambazo ziliibuliwa dhidi yake na Madeejay nchini Uganda wakisema kwamba alikimbia na pesa zao ambazo walipewa na serikali kutokana na makali ya corona. Akiwa kwenye mahojiano […]

Read More
 RAGGA DEE AWACHARUKIA WANAOKOSOA TUZO ZA JANZI AWARDS 2021

RAGGA DEE AWACHARUKIA WANAOKOSOA TUZO ZA JANZI AWARDS 2021

Msanii mkongwe kutoka Uganda Ragga Dee amezikingia kifua tuzo za Janzi Awards akisema tuzo hizo ni tofauti na tuzo ambazo tayari zimeandaliwa nchini Uganda. Tuzo hizo ambazo ziliandaliwa wiki hii iliyopita imekosolewa na baadhi ya wasanii kwa kukosa uwazi. Ragga dee amesema tuzo za Janzi zina dhamana kubwa ya takriban shillingi 112,998.26 za Kenya, hivyo […]

Read More