Rahmah Pinky afunguka chanzo cha kuondoka Team No Sleep
Mwanamuziki anayekuja kwa kasi nchini Uganda Rahmah Pinky amevunja kimya chake juu ya kutengana na meneja wa vipaji, Jeff Kiwa. Pinky ameelezea kuwa Jeff Kiwa alipoteza mweelekeo kwenye suala la kusimamia muziki wake na akaanza kumtaka kimapenzi, jambo ambalo anadai hakuweza kulivumilia. “Mawazo yake yalibadilika na akaanza kutaka mambo mengine kutoka kwangu, ilibidi niikimbie lebo […]
Read More