RAPA CASANOVA AKABILIWA NA KOSA LA MAUJI

RAPA CASANOVA AKABILIWA NA KOSA LA MAUJI

Mwishoni mwa mwaka 2020 Rapa Casanova alikamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na genge la kihalifu liitwalo, Untouchable Gorilla Stone Nation, ambapo shirika la kijasusi nchini Marekani (FBI) lilitoa taarifa kupitia Twitter, taarifa ambayo ilikuwa ikiueleza umma kuwa inawashikilia member 17 wa genge hilo kwa makosa ya kujihusisha na biashara haramu, mauaji, dawa za kulevya na […]

Read More