Rapcha Aomba Radhi BASATA kwa Video Yenye Maudhui ya Ngono
Msanii wa Bongofleva, Rapcha ameomba radhi kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kwa Watanzania baada ya wimbo wake uitwao Yeeh kusambaa mitandaoni ukiwa na video yenye maudhui ya ngono. Rapcha alifika katika ofisi za BASATA na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji, Dkt. Kedmon Mapana, ambapo alielezwa kuhusu ukiukwaji wa maadili uliopo kwenye kazi […]
Read More