Young Thug Amshambulia Kid Cudi kwa Madai ya Kutoa Ushahidi Dhidi ya Diddy
Mastaa wawili wa muziki wa hip hop, Young Thug na Kid Cudi, wameingia kwenye mzozo wa wazi baada ya Cudi kuonekana mahakamani kutoa ushahidi unaomkabili rapa nguli Sean “Diddy” Combs, katika kesi inayohusisha tuhuma za unyanyasaji, ukatili na matumizi mabaya ya madaraka. Kupitia chapisho aliloliweka kwenye akaunti yake ya X (zamani Twitter), Young Thug aliandika […]
Read More