RAY C AOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI SAKATA LA DIAMOND NA HARMONIZE
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Ray C ametia neno kuhusu bifu ya Harmonize na Diamond platinumz kwa kusema kwamba ugomvi wa wawili hao usipotatuliwa mapema unaweza kuwa mbaya. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Ray C amesema Watanzania hawapaswi kufurahia jambo hilo kama kweli wanawapenda wasanii hao ikizingatiwa kuwa ni vita kubwa […]
Read More