Ray G akosa imani na chama cha wanamuziki nchini Uganda UMA
Mwanamuziki Ray G amefunguka sababu za kutokuwa mwanachama wa chama cha wanamuziki nchini Uganda UMA. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Msanii huyo amesema chama hicho hakina mweelekeo lakini pia hajashawishika namna inawasaidia wasanii. Ray G ambaye anafanya vizuri na single yake mpya “Nobanza” amedai kwa sasa ana mpango wa kujiunga na UMA hadi pale atakapopata […]
Read More