RAYVANNY AACHIA EP MPYA

RAYVANNY AACHIA EP MPYA

Mshindi pekee wa tuzo ya BET Tanzania na Mkurugenzi wa lebo ya Next Level Music Rayvanny ameachia EP yake mpya inayokwenda kwa jina la NEW CHUI. Rayvanny ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye nyimbo sita huku ikiwa na kolabo moja tu ya Abby Chamz. Hii inakuwa EP ya pili kutoka […]

Read More