RAYVANNY ATHIBITISHA UJIO WA COLLABO YAKE NA JUSTIN BIEBER

RAYVANNY ATHIBITISHA UJIO WA COLLABO YAKE NA JUSTIN BIEBER

Habari nzuri kwa mashabiki wa muziki wa BongoFleva kutoka Tanzania ni kwamba tutarajie muda wowote ujio wa Collabo kati ya mwanamuziki rayvanny na Star wa RnB -Pop Justin Bieber. Kupitia insta story ya Rayvanny kwenye mtandao wa Instagram ameshare taarifa hiyo nzuri kwa mashabiki na wadau wa muziki nchini kwa kuthibitisha kuwa tayari wawili hao wamefanya kazi ya pamoja. Endapo collabo hiyo itatoka itamfanya Rayvanny kuwa msanii wa 3 kutoka Africa baada ya WizKid na Burna Boy kufanya kazi ya pamoja na mwanamuziki huyo nyota kutoka canada.

Read More