RAYVANNY KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS 2021

RAYVANNY KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS 2021

Mkurugenzi wa lebo ya Next Level Music Rayvanny ametajawa kuwa msanii pekee atayetumbuiza kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards ambazo kwa mwaka huu 2021 zitatolewa huko nchini Hungury. Kwa mara ya kwanza Rayvanny atatumbuiza kwenye jukwaa hilo la tuzo za kimataifa akiwa na msanii kutoka nchini Columbia aitwaye maluma ambaye amemshirikisha Rayvanny kwenye wimbo […]

Read More