RAYVANY AMPIGA CHINI HARMONIZE KWA IDADI YA VIEWS YOUTUBE
Ni Rasmi sasa bosi wa lebo ya Next Level Music na msanii kutoka WcB, Rayvanny ndiye msanii wa pili kwa idadi kubwa ya watazamaji wa jumla yaani (total views) katika mtandao wa YouTube Afrika Mashariki. Rayvanny aliye jiunga na mtandao huo Machi 17 mwaka wa 2016 anachukua nafasi hiyo ya pili akiwa na total views […]
Read More