RAYVANY ATANGAZA UJIO WA TOUR YA MSANII WAKE MACVOICE
Msanii wa bongofleva Rayvanny ameweka wazi ujio wa tour ya kimuziki ya msanii wake MacVoice ambaye ana mwezi mmoja tangu atambulishwe rasmi kuwa chini ya lebo ya Next Level Music. Rayvanny ambaye ni boss wa Next Level Music amebainisha ujio huo kupitia Insta story yake kwenye mtandao wa Instagram kwa kuandika ujumbe unaosomeka “Macvoice tour.. […]
Read More