Chelsea Yalalamikia Upendeleo kwa Real Betis Kabla ya Fainali
Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca, ameonesha kutoridhishwa na uamuzi wa La Liga wa kuurudisha nyuma mchezo wa Real Betis dhidi ya Valencia, hatua inayowapa wapinzani wao siku mbili zaidi za maandalizi kuelekea fainali ya UEFA Conference League dhidi ya Chelsea, itakayopigwa Mei 28, 2025. Awali, mechi ya Betis na Valencia ilikuwa imepangwa Jumapili ya Mei […]
Read More