Recho Ray akanusha kughushi noti ya shillingi elfu 50 Uganda

Recho Ray akanusha kughushi noti ya shillingi elfu 50 Uganda

Msanii Recho Ray amejitenga na picha inayosambaa mtandaoni ikimuonesha akiwa kwenye noti ya shilling elfu 50 ya Uganda ambapo alikuwa ameanika wazi maungo yake ya mwili. Recho Ray anasema picha hizo zilichapishwa na watu waliodukua akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Facebook. β€œHey, guys my account is restored now. It was hacked,” Aliandika Instagram. […]

Read More
 RECHO RAY AKIRI USHIRIKINA KUSHEHENI KWENYE MUZIKI WA UGANDA

RECHO RAY AKIRI USHIRIKINA KUSHEHENI KWENYE MUZIKI WA UGANDA

Msanii Recho Ray amefunguka na kudai kwamba tasnia ya muziki nchini Uganda imesheheni ushirikina. Katika mahojiano yake hivi karibuni Recho amesema nguvu za giza ndio chanzo ya baadhi ya wasanii wakongwe nchini humo kusalia kwenye muziki kwa muda mrefu. Mrembo huyo amesema wasanii wengi wenye vipaji wamepotea kimuziki kutokana na baadhi ya wadau nchini Uganda […]

Read More