Hatma ya James Reece kujulikana masaa 48

Hatma ya James Reece kujulikana masaa 48

Kocha wa Chelsea Graham Potter amesema hali ya majeraha aliyoyapa mlinzi wa kulia wa klabu hiyo Reece James kwenye mchezo wa EPL dhidi ya Bournemouth itajulikana ndani ya kipindi cha masaa 24 hadi 48 ili kujua ukubwa wa jeraha lake. James alipata maumivu ya goti na kutolewa kwenye mchezo dakika ya 53 kwenye mchezo ambao […]

Read More