Refigah awatolea uvivu wasanii wa Kenya kwa kuhujumu jitihada za kufufua tasnia ya muziki

Refigah awatolea uvivu wasanii wa Kenya kwa kuhujumu jitihada za kufufua tasnia ya muziki

Mwanzilishi wa Grandpa records Noah Yusuf, maarufu Refigah ameandika barua ya wazi kwa wasanii wa Kenya. Kwa mujibu wa Refigah, kuzorota kwa hali ya muziki nchini kutawafanya wasanii chipukizi kukata tamaa kwenye harakati za kutoka kimuziki kutokana na mazingira magumu. Refigah kupitia taarifa yake anasema kwa sasa muziki wa kenya haufanyi vizuri sokoni na kila […]

Read More